Licha ya kwamba hakuna kisa kipya cha virusi vya Corona, lakini serikali ya Kenya imetangaza makatazo mengine kwa umma.
Kuanzia sasa maduka makubwa yameagizwa kudhibiti idadi ya wateja, kipaumbele kikipewa wanawake wajawazito, wazee na walemavu.
Maeneo ya burudani kufungwa ifikapo saa moja unusu usiku kuanzia Jumatatu ijayo kama jitihada za kudhibiti virusi vya Corona.
Awali maeneo ya burudani yaliruhusiwa kuhudumu hadi saa tano usiku


0 Comments